Rais Samia amesema mashtaka dhidi kiongozi wa CHADEMA, Freeman Mbowe hayajachochewa na siasa
Amesema wenzake ambao alituhumiwa nao tayari wako jela wakitumikia vifungo vyao na yeye alikuwa huru kwa sababu upelelezi dhidi yake ulikuwa haujakamilika
Rais amesema Mbowe alikuwa Kenya na aliporudi nchini alitafuta shughuli za kisiasa ili apate kisingizio atakapokamatwa

No comments:
Post a Comment