Search This Blog
Sunday, August 1, 2021
Rais Samia afanya uteuzi wa wakurugenzi
Rais Samia Suluhu amewateua Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya ambapo miongoni mwa walioteuliwa ni aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam kabla ya kuhamishiwa Kinondoni Spora Liana ambaye kwa sasa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, swipe kuona teuzi zote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment