Moto umezuka leo katika jengo la kituo cha kupoozea na kusambaza umeme cha Msamvu mkoani Morogoro na kusababisha mji mzima wa kutokuwa na umeme. Moto huo unaelezwa kuanza majira ya saa 2 asubuhi ya leo.
Jeshi la zimamoto na uokoaji liliwahi eneo la tukio na kudhibiti moto huo, Mbaka sasa chanzo chake hakijafahamika bado.


No comments:
Post a Comment