
Kiongozi mkongwe wa upinzaji nchini Zambia, Hakainde Hichilema anatarajiwa kuapishwa kuwa rais baadaye Jumanne, akiinua matumaini kwa wanasiasa wengine wa upinzani katika mataifa mengine ya Kiafrika kwamba wao pia wanaweza kuingia madarakani.
Bw. Hichilema alimshinda Rais Edgar Lungu katika uchaguzi wa uliofanyika siku chache zilizopita.
No comments:
Post a Comment