Search This Blog
Friday, August 20, 2021
Bilioni 48.4 zimekusanywa kwenye tozo- Waziri Mwigulu
Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amesema katika kipindi cha wiki nne Serikali imekusanya Sh 48.4 bilioni kutokana na tozo za miamala ya simu, na zaidi ya Sh22 bilioni zimepelekwa katika vituo vya afya zaidi ya vituo 90.
“Ombi langu moja kwa Watanzania wanaonitazama kwamba jambo hili ni letu sote sio la serikali, nchi hii ni yako wewe hapo ulipo na pesa ni yako na haya mambo tuliyokuwa tunapangilia tuyafanye ni yako, hivyo haya yote ni yetu,"amesema Dk. Nchemba.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment