Search This Blog

Monday, July 5, 2021

Zuma : Sina haja ya kwenda jela mahakama imekubali kusikiliza rufaa


Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amesema kutokana na umri alionao haoni haja ya yeye kwenda jela kwenye kipindi hiki ambacho kuna mlipuko wa #COVID19

Kwa siku kadhaa kumekuwepo maandamano nje ya nyumba ya Zuma ambapo mamia ya wafuasi wake wamekusanyika kutengeneza ‘uzio wa watu’ ili kuzuia kukamatwa kwake

Naibu Jaji Mkuu wa Afrika Kusini, Raymond Zondo alisema Zuma lazima akumbane na mkono wa Sheria vinginevyo kutakuwa na vurugu katika Mahakama za nchini humo




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...