Search This Blog

Thursday, July 29, 2021

Wizara ya Afya yafunguka baada ya gumzo la watu kuhusu muhudu aliokua akitoa chanjo kutovaa gloves


Baada ya siku ya Jana Rais Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine kuchanjwa chanzo ya COVID-19, gumzo lilikuwa ni yule mhudumu wa afya kuwachoma chanjo viongozi bila kuvaa Gloves. Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi.

"Kwa mujibu wa muongozo , Gloves hazishauriwi kuvaliwa wakati wa kuchoma chanjo yeyote na pia kwa chanjo ya Covid-19"

"Hivyo tunapenda kuwatoa hofu wananchi kuwa Mhudumu aliyewachoma chanjo Mhe. Rais na viongozi wengine alikua sahihi kutovaa gloves".


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...