Search This Blog

Monday, July 12, 2021

Waziri Ummy: Lazima masoko yote na stendi yawekewe visima vya maji


Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema Serikali imejifunza kupitia moto uliotokea Karikaoo na kusema kuanzia sasa Masoko yote makubwa yanayomilikiwa na Halmashauri na Stendi kubwa wakianzia na Stendi ya Magufuli iliyopo Mbezi, zitawekwa vifaa vya kuzimia moto pamoja na visima vya maji ili kukabiliana na majanga ya moto.

“Masoko yote yanayomilikiwa na Halmashauri zetu, hususani Masoko makubwa, Stendi zetu zote ambazo zinamilikiwa na Halmashauri zetu tutahakikisha zinakuwa na visima vya maji, ili kuweza kukabiliana na majanga haya ya moto” Ummy



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...