Search This Blog

Sunday, July 11, 2021

Waziri Mkuu Majaliwa akagua kuungua soko la Kariakoo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua hatua zinazoendelea kuchukuliwa kudhibiti moto uliyotokea kwenye soko la Kimataifa la Kariakoo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makala, wakati akikagua hatua zinazoendelea kuchukuliwa kudhibiti moto uliyotokea kwenye soko la Kimataifa la Kariakoo.

Muonekano wa Soko la Kimataifa la Kariakoo baada ya kuungua usiku wa kuamkia leo

Wafanyabiashara wa Soko la Kimataifa la Kariakoo, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, baada ya kukagua hatua zinazoendelea kuchukuliwa kudhibiti moto uliyotokea kwenye soko la Kimataifa la Kariakoo, Julai 11, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiongea na Wafanyabiashara wa Soko la Kimataifa la Kariakoo, baada ya kukagua hatua zinazoendelea kuchukuliwa kudhibiti moto uliyotokea kwenye soko la Kimataifa la Kariako











 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...