Search This Blog

Saturday, July 24, 2021

Ratiba kamili ya mazishi ya Waziri Ally


Aliyekuwa mwanamuziki mkongwe wa Kilimanjaro Band maarufu kama Njenje Waziri Ally amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mwananyamala.

Taarifa kamili kuhusu raitba ya mazishi yake iliyotolewa na Aboubakary Liongo kwa niaba ya familia inaeleza kuwa.

"Ndugu na jamaa wote kukutana Mwananyamala Hospitali  asubuhi hii, tunatarajia mwili utasafirishwa leo saa tano asubuhi kwenda Tanga ambako msiba utakuwa barabara ya 21 karibu na kiwanda cha Chuma zamani na mazishi yatakuwa kesho Jumapili kijijini kwao Pongwe".



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...