Search This Blog

Monday, July 26, 2021

Rais Samia kuchanjwa chanjo ya Corona kesho


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dr. Doroth Gwajima amesema Rais Samia anatarajiwa kufanya uzinduzi wa zoezi la uchanjaji wa chanjo ya Corona Ikulu Jijini Dar es salaam July 28,2021 saa tatu asubuhi ambapo Rais Samia atachanjwa.

Baada ya uzinduzi huo Wizara ya Afya itaendelea na taratibu nyingine za usambazaji wa chanjo hiyo na kutoa utaratibu wa utoaji wa chanjo katika vituo vilivyoandaliwa Mikoani.

 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...