Search This Blog

Friday, July 2, 2021

Mke wa Rais wa Marekani akava jarida la Vogue


Mke wa Rais Joe Biden wa Marekani, Dkt. Jill Biden (69) ameingia kwenye headlines baada ya kuonekana katika Jarida la Vogue, toleo la mwezi wa nane.

Kwenye toleo la hilo jipya, @drbiden amefunguka maisha halisi akiwa Ikulu na namna gani ameweza kuendelea kufundisha licha ya kuwa mke wa Rais pia na namna gani nchi ilivyobadilika tangu Rais Biden aingie madarakani.

Kuhusu @voguemagazine, hili ni jarida la kila mwezi la mitindo ya maisha la Marekani linaloangazia mada mbalimbali zikiwemo mitindo, uzuri na utamaduni na lilianza kama gazeti la kila wiki mwaka 1892, kabla ya kuwa jarida la kila mwezi miaka iliyofuata.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...