Search This Blog

Thursday, July 15, 2021

Miss Tanzania aliyevuliwa taji atua BASATA


 Miss Tanzania,Rosey Manfere, tayari emeshawasili Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kusikiliza hatma yake kufuatia sakata lake la kutoruhusiwa kwenda kushiriki Miss World mwaka huu.

Rose amewasili leo Alhamisi Jula15,2021 katika ofisi za baraza hizo zilizopo maeneo ya kivukoni ambapo alifika saa nne.

Hatua hiyo inakuja baada ya Kamati ya Maandalizi ya Miss Tanzania juzi kumtangaza mshindi wa pili, Julianna Rugamisa kuwa ndiye atakayewakilisha nchi katika mashindano hayo ya dunia yanayotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu nchini Puerto Rico.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...