Search This Blog

Monday, July 12, 2021

Linah amuumbua Harmonize amkataa peupe "umealibu familia ya wenzako unakuja kwangu, sikutaki"


Msanii wa muziki hapa nchini Linah Sanga amemtolea povu na kuvujisha siri nzito ya CEO wa lebo ya Konde Gang Harmonize kwa kumtaka kuwa naye kwenye mahusiano.

Linah amemchana Harmonize kupitia page yake ya Instagram kwa kuandika ujumbe ufuatao kisha kuufuta baada ya muda mfupi.

"Harmo Harmo nakuita tena, au kwa sababu sikutaki umekuwa ukinitafuta kwa njia zote nimekukataa na unakuja kwa njia huyo ya Seven kama kifua kumbe huna lolote" 

"Umeharibu familia ya wenzako leo ukaona haitoshi unakuja na kwangu, sijui hata kama ulizaliwa wewe au ulitapikwa, mwanaume una roho kama ya wanyama sikupendi nakuchukia" ameongeza

 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...