Search This Blog

Saturday, July 3, 2021

Hiki hapa kikosi cha Simba dhidi ya yanga leo


 LEO Julai 3, majira ya saa 11:00 kunatarajiwa kuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Yanga ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Huu ni mchezo wa ligi ambapo Simba ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes imeweka wazi kwamba inahitaji pointi tatu muhimu.


Hiki hapa kikosi cha Simba kinachotarajiwa kuanza leo mbele ya Yanga namna hii:-


Aishi Manula


Shomari Kapombe


Joash Onyango


Pascal Wawa


Mohamed Hussein


Luis Miquissone


Taddeo Lwanga


Mzamiru Yassin


Clatous Chama


Chris Mugalu


John Bocco




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...