Search This Blog

Tuesday, July 6, 2021

DAWASA imefanikiwa kusambaza maji kwa mikoa ya Dar, Pwani kwa asilimia 92

 


Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam na Pwani, imefanikiwa kusambaza maji kwa wakazi wa mikoa hiyo kwa asilimia 92 mpaka sasa.

Akitoa tathmini ya utendaji kazi wa mamlaka hiyo mbele ya Waziri wa Maji Jumaa Aweso, Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja, amesema bado mamlaka hiyo inaendelea kusambaza huduma ya maji kwa maeneo ambayo wanayahudumia ikiwemo kununua mitambo ya kisasa ya kufikisha huduma ya maji kwa wananchi.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...