Search This Blog
Sunday, July 25, 2021
Benki ya Biashara yakabidhi mabati gereza la Masasi
Mkurugenzi Mtneaji wa Benki ya (BBT), Sabasaba Moshingi akikabidhi mabati200 yenye thamani ya Sh milioni 7.8 kwa mbunge wa Masasi ambaye pia ni Waziri wa Uwekezaji Geofry Mwambe, mabati hayo ni kwa ajili ya kuezekea Hospitali ya Gereza la Masasi inayojkengwa kwa nguvu ya Gereza hilo na ufadhili wa Benki hiyo. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Geofry Mwambe, akisalimiana na baadhi ya maofisi wa Jeshi la Magereza baada ya kuwasili katika ereza la Masasi kwa ajili ya kupokea msaada wa mabati kutoka benki ya Biashara Tanzania(BBT)uliofanyika mwishoni mwa wiki. Nyumba yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Sabasaba Moshingi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Geofry Mwambe na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya (BBT),Sabasaba Moshingi,wakitoka kukagua mandeleo ya ujenzi wa Hopsitali ya Gereza hilo baada ya kukabidhiana msaada wa mabati kwa aji y ya kuezekea katika hafla iliyofanyika katika eneo la Gereza la Masasi mwishoni mwawiki.
kuezekea Hospitali ya Jeshi hilo inayojengwa kwa nguzu za jeshi hilona benki hiyo ikiwa mfadhili wake. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Sabasaba Moshingi, akimkabidhi Mkuu wa Gereza hilo MMabati 200 yenye thamani ya Sh Milioni 7.8. Hafla hiyo ilifnayika mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mbunge wa Masasi na Waziri wa Nchi Oifi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Geofry Mwambe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...




No comments:
Post a Comment