Search This Blog

Saturday, June 12, 2021

Tanzia: Mtangazaji Fredwaa afariki kwa ajali Dar es salaam


Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kama kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo Dar es salaam, taarifa za awali zinasema amefariki baada ya kupata ajali Kawe akiwa yeye ndio anaendesha akiwa na abiria mmoja ndani ya gari ambae yeye amejeruhiwa tu.

Fredwaa amewahi kufanya kazi kama Mtangazaji kwenye vituo mbalimbali vya Radio kama Radio Free Africa Mwanza pamoja na CloudsFM Dar es salaam,



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...