Search This Blog

Thursday, June 24, 2021

TANZIA: Mhariri Mtendaji wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo afariki dunia


Aliyewahi kuwa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo pamoja na Jamhuri, Mkinga Mkinga amefariki dunia leo Alhamisi Juni 24, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Mkinga ambaye hadi umauti unamkuta alikuwa mmoja wa Wahariri wa gazeti la Jamhuri.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...