Search This Blog

Tuesday, June 15, 2021

SHULE YA SCOLASTICA INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO

 


Shule ya Scolastica iliyopo mji mdogo wa Himo Mkoani Kilimanjaro, Inapenda kuwatangazia ndugu wazazi / walezi nafasi za masomo katika ngazi zifuatazo;


A: SHULE YA MSINGI. (PRIMARY)

Darasa la Awali hadi la Sita kwa wanafunzi wa kutwa na bweni.


B: SHULE YA SEKONDARI. (O LEVEL)

Kidato cha Kwanza hadi cha nne kwa wanafunzi wa bweni tu.


C: SHULE YA SEKONDARI. (A LEVEL)

Kidalo cha Tano hadi cha Sita kwa wanafunzi wa bweni kwa michepuo ifuatayo; PCB. PCM, CBG, EGM, HGE, ECA na HGL.


Wahi nafasi sasa, Mlete mwanao apate elimu na malezi bora.


FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA MAENEO YAFUATAYO:


SHULENI SCOLASTICA - HIMO, KILIMANJARO.


ARUSHA - ST. THERESA CATHEDRAL


DAR ES SALAAM - MSIMBAZI CENTER

Chumba namba tisa (9).


MOSHI MJINI - Christian bookshop.


SHULE NI YA MCHANGANYIKO NA GHARAMA ZA MASOMO (ADA) NINAFUU SANA.


NYOTE MNAKARIBISHWA SANA


KWA MAWASILIANO ZAIDI FIKA SHULENI AU PIGA SIMU NAMBA 0754 783 311 AU 0754 295 483


UFAULU WA SHUOE




ANGALIA VIDEO HII KUONA MAZINGIRA YA SHULE.















No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...