Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete amewaambia Viongozi wa Klabu ya Yanga kuendesha klabu hiyo kwa Uwazi na Uwajibikaji
Amewataka wasitumie Klabu kuwa kama MKUKUTA wao kwa maana ya kuiba na kuboresha maisha yao huku akisema uwazi na uwajibikaji utapunguza wizi na udokozi wa Mali za Klabu
No comments:
Post a Comment