Search This Blog

Monday, June 14, 2021

India yarekodi idadi ndogo ya maambukizi ya corona tangu Marchi


Mwenendo wa mlipuko wa COVID19 Nchini humo unaendelea kubadilika na sasa India imerekodi maambukizi mapya 70,421 ndani ya saa 24 zilizopita, ikiwa ni idadi ndogo zaidi kuripotiwa tangu Machi 31

Taifa hilo limerekodi jumla ya visa Milioni 29.51 na vifo vimefikia 374,305 baada ya vingine 3,921 kuongezeka




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...