Search This Blog

Monday, June 14, 2021

3 wafariki wngine 4 wajeruhiwa kwenye shambulizi la kigaidi Ivory Coast

Wanajeshi 3 wameripotiwa kuuawa kwenye shambulizi la kigaidi lililotokea katika mpaka wa Ivory Coast na Burkina Faso.

Katika taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Wafanyikazi wa Usalama, iliripotiwa kuwa gari la jeshi lililokuwa likishika doria katika eneo la Tehini-Togolokaye, lilishambuliwa kwa kilipuzi kilichokuwa kimetegwa hapo awali.

Katika shambulizi hilo, wanajeshi 3 walipoteza maisha na wanajeshi wengine 4 walijeruhiwa.





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...