Search This Blog

Wednesday, May 19, 2021

Tanzia: Mbunge wa ACT Waalendo Khatib Haji afariki dunia


Mbunge wa Jimbo la Konde (Zanzibar) Ndugu, Khatib Haji amefariki dunia alfajiri ya leo Mei 20, 2021

Kwa mujibu wa taarifa ya ACT-Wazalendo, Haji amefariki Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akipatiwa matibabu



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...