Search This Blog

Wednesday, May 19, 2021

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kufanya ziara ya siku moja leo


Rais wa Uganda, Yoweri Museveni atafanya ziara ya kikazi ya siku moja leo Mei 20, 2021 kufuatia mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan

Akiwa Nchini, Rais Museveni na Rais Samia watashuhudia utiaji saini wa Mikataba ya utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Bandari ya Tanga, kati ya Serikali ya #Tanzania na Kampuni za Uwekezaji katika mradi huo (Host Government Agreement)



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...