Search This Blog
Saturday, May 8, 2021
Spika Ndugai afuturisha waheshimiwa Wabunge Jijini Dodoma
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai awaongoza Waheshimiwa Wabunge katika futari aliyoiandaa kwa Wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 07, 202, anaefuata ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Ummy Mwalimu.
Waheshimiwa wabunge wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Spika Job Ndugai kwenye viwanja vya bunge Jijini Dodoma, Mei 07, 2021.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment