Search This Blog

Friday, May 21, 2021

Rais Samia amteua Mwenyekiti Bodi wa Wakurugenzi TEMDO



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Richard Joseph Masika kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) kuanzia March 29, 2021.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...