Search This Blog

Friday, May 28, 2021

Hassan Mwakinyo na Anthony Mayala kuzichapa leo


 Leo kuanzia Saa 2:00 usiku jiji litasimama kwa muda, mtanzania Hassan Mwakinyo  akienda kuvunja rekodi kwenye pambano la Rumble in Dar.

Pambano hilo litapigwa kwenye ukumbi wa Next Door Arena, Masaki likitanguliwa na mapambano mengine sita.

 Hassan Mwakinyo bondia namba moja nchini mbali na kuwania ubingwa wa Afrika (ABU), endapo atamchapa Anthony Mayala ataweka rekodi ya kuwa bondia wa kwanza kumchapa Muangola huyo.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...