Search This Blog

Wednesday, May 19, 2021

GST yatoa mafunzo kwa wachimbaji wadogo Mara


Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) katika mpango wake wa kutoa mafunzo kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini leo tarehe 18/5/2021 imefanikiwa kutoa mafunzo Kwa wachimbaji 409katika Mkoa wa Mara kwa kipindi cha siku tatu.


Mafunzo hayo yaliyofunguliwa tarehe 16/5/2021 na mheshimiwa Waziri wa Madini Doto Biteko yamefanyika kwa nadhari na vitendo katika sehemu mbalimbali za Mkoa wa Mara ambapo jumla ya wachimbaji wadogo wa Madini 270 walipata mafunzo Kwa vitendo ambapo eneo la Buhemba wachimbaji wadogo 37 ,  Gedeli wachimbaji 126 ,Nyamongo wachimbaji  67, Ikungu wachimbaji 40 , Kwa upande wa nadharia jumla ya wachimbaji 139 walifundishwa.








No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...