Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na watendaji wakuu wa taasisi kama ifuatavyo;
Rais Samia Suluhu amemteua Aboubakari Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, kabla ya uteuzi Kunenge alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na anachukua nafasi ya Mhandisi Evarist Ndikilo ambaye amestaafu.

No comments:
Post a Comment