Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda amesema Tanzania imechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Mama Makinda amesema wapigania Uhuru wengi kutoka nchi Wanachama wa SADC walipata msaada kutoka Tanzania, hivyo ni wajibu kuendeleza umoja miongoni mwa nchi za Jumuiya hiyo.
No comments:
Post a Comment