Search This Blog

Sunday, May 30, 2021

Aeshi : Watu wamefilisika, walipwe fidia


Mbunge wa Sumbawanga Aeshi Hilaly ameitaka Serikali kuwalipa fidia wavuvi wa dagaa katika ziwa Tanganyika na Nyasa ambao walichomewa nyavu zao.


Aeshi ameeleza hayo, amesema serikali imeumiza sana watu wengi huko nyuma hivyo inabidi iwalipe fidia.


''Watu walichomewa vyavu wakati vipimo vikiwa sawa ila serikali ndio ilitofautiana kwa vipimo vya TBS na Wizara, lakini hata watu walipolalamika kwamba wananunua madukani na risti wanazo lakini serikali haikwenda kuchukua hatua kwa wauzaji na mwisho wa siku watu wamefilisika,'' amesema Aeshi. 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...