Search This Blog

Wednesday, April 14, 2021

Rayvanny afunguka mkanda mzima sakata lake na Harmonize na Paula


 " Wakati ananikandamiza na kuchochea kwa kusema nimekosea sikuwa najua Chuki yake inatoka wapi . Lakini imekuja kunishangaza sana kuja kuona kumbe yeye ndio anafanya mabaya zaidi ya aliyokua nayakemea " - Ryvanny .

Sina muda wa kutafuta Kiki, sihitaji Kiki ili kuuza muziki wangu kwasababu Napenda na Mashabiki . Bali lengo ni kumfunza kuwa alichokifanya si sahihi na anatakiwa kuomba radhi " - @rayvanny

Inapofikia point mtu kaingia kwenye maisha yangu siwezi kukaa kimya mimi nitaingia kwenye haki - Rayvanny

"Kuna watu amewaumiza kwa alichokifanya, Familia ya Watu inatukanwa mitandaoni, nilitegemea aombe radhi lakini ndio kwanza akaitumia kama Kiki na kwenda kutoa wimbo " - Rayvanny .



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...