Search This Blog

Tuesday, April 13, 2021

Rais Samia awatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani


Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Rais Samia Suluhu Hassan, amewaomba Waislamu kuiombea nchi amani, upendo, mshikamano na utulivu ili kujenga mazingira bora zaidi kwa maendeleo na ustawi wa jamii.

Ibada ya funga itaanza kesho Aprili 14, 2021 kwa Waislamu, ikiwa ni moja ya nguzo za Uislamu.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...