Search This Blog
Thursday, April 29, 2021
Dkt. Tulia akutana na kufanya mazungumzo na Watendaji kutoka NMB Benki Jijini Dodoma
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akifurahi jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB, Ndg. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Wageni wengine ni watendaji kutoka Benki hiyo.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (watatu kushoto) katika picha ya pamoja na Watendaji wa Benki ya NMB wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth Zaipuna (watatu kulia) walipomtembelea leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...



No comments:
Post a Comment