Search This Blog
Tuesday, April 27, 2021
Balozi Liberata Mulamula akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China, Ufaransa, Israel, Ubelgiji na Ujerumani
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Mb) Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe.Frederick Clavier mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharika Jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yalilenga kudumisha mahusiano baina ya nchi hizo mbili katika Nyanja za diplomasia ya mahusiano na uchumi,biashara na uwekezaji.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment