Search This Blog

Wednesday, February 3, 2021

Zuchu ndiye mwanamuziki wa kwanza wa kike Mashariki kupata watazamaji milioni 100 katika Youtube


Mwanamuziki wa Tanzania Zuhura Othman , al maarufu Zuchu amekua mwanamuziki wa kwanza wa kike Afrika Mashariki anayeimba peke yake kupata jumla ya watazamaji milioni 100 kwenye mtandao wa Youtube.

Mwanamuziki huyo kutoka kampuni ya Wasafi amepata kutokana na wimbo wake alioutoa hivi karibuni kwa jina ''sukari'' ulioikonga mioyo ya mashabiki na wapenzi wa muziki wake.

Kampuni ya Wasafi, ambayo pia ni nembo inamilikiwa na Mwanamuziki maarufu wa Bongo Flava, Naseeb Abdul al maarufu Diamond Platnamz.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...