Rais Dkt. John Magufuli amesema kuwa Waziri wa Fedha, Dkt. Philip Mpango anapatiwa matibabu jijini Dodoma na kwamba afya yake inaendelea kuimarika.
Katika ujumbe wake kwa Rais Dkt. Magufuli, Dkt. Mpango amesema amewaombea msamaha wale wote waliozusha kuwa amefariki dunia.
No comments:
Post a Comment