Search This Blog

Friday, February 19, 2021

Tusitishane na kuogopeshana, Kufa tutakufa tu Unaweza ukafa kwa Malaria, Kansa- JPM


 "Tusitishane na kuogopeshana, tutashindwa kufika. Inawezekana kuna mahali tumemkosea Mungu, tunapata jaribu kama Waisraeli walivyokuwa wakienda Kanani,"

"Tusimame na Mungu ndugu zangu Watanzania. Kufa tutakufa tu Unaweza ukafa kwa Malaria, Kansa kwasababu kufa kupo." - Rais Magufuli akizungumza katika ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Marehemu Balozi John William Kijazi.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...