Waziri wa zamani wa Katiba na Sheria, Balozi Bakari Mwapachu amefariki dunia leo alfajiri February 12,2021 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu, Msemaji wa Familia Bashiri Mwasora amethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
No comments:
Post a Comment