Search This Blog

Friday, February 12, 2021

Sabaya amewataka wananchi kuondoa uoga na hofu ya corona “tumieni mizizi”


Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amewataka wananchi kuondoa uoga na hofu na kujielekeza katika ujenzi wa uchumi kwani hofu inahatarisha maisha yao kuliko tishio la ugonjwa wenyewe.

Lenagi Ole Sabaya amesema ni muhimu kuwa na tahadhari lakini zisipitilize na kuwa uoga, huku akiwaeleza wananchi kwamba MUNGU aliyeliponya Taifa mwaka Jana bado ni MUNGU.

Amesisitiza wanasayansi kuwekeza katika tiba zinazoendana na mazingira na hali zetu



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...