Rais Recep Tayyip Erdoğan,amefanya mkutano wa video na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel.
Kulingana na taarifa kutoka kwa ofisi ya Rais, uhusiano kati ya Umoja wa Ulaya na Uturuki na masuala ya kikanda ni kati ya mada zilizojadiliwa wakati wa mazungumzo hayo.
Rais Recep Tayyip Erdoğan alifanya mkutano kwa njia ya video na Waziri Mkuu wa Ujerumani Angela Merkel. Katika mkutano huo, Erdoğan alizungumzia uhusiano wa Uturuki na Jumuiya ya Ulaya na kusema kwamba wamejitolea kuboresha uhusiano kwa njia ya mazungumzo kutarajia majadiliano ya mchakato utakaendelea kwenye Mkutano wa Machi.
Rais Erdoğan, pia amezungumzia matarajio yake ya Mkutano wa Uturuki na EU kabla ya kumalizika kwa uongozi wa Ureno.
No comments:
Post a Comment