Search This Blog

Sunday, February 21, 2021

Magufuli ashiriki Dominika ya kwanza ya Kwaresima

 


Rais Dkt. John Magufuli ameshiriki ibada ya Dominika ya kwanza ya Kwaresima Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro Oystrerbay jijini Dar es salaam, leo Jumapili Februari 21, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia waumini wenzie baada ya kushiriki katika Ibada ya Dominika ya Kwanza ya Kwaresima katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Februari 21, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na Padre Dkt. Alister MAkubi baada ya kushiriki katika Ibada ya Dominika ya Kwanza ya Kwaresima katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Februari 21, 2021.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na mmoja wa wazee wa kanisa Jaji Mstaafu Thomas Mihayo katika Ibada ya Dominika ya Kwanza ya Kwaresima katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay  jijini Dar es salaam leo Jumapili Februari 21, 2021.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...