Search This Blog

Friday, February 26, 2021

Kenya kupokea chanjo ya corona juma lijalo


Kenya itapokea bachi ya kwanza ya chanjo ya Covid-19 wiki ijayo, baraza la mawaziri limesema.

Wahudumu wa afya, maafisa usalama, waalimu na watu walio kwenye hatari watakuwa wa kwanza kupatiwa chanjo hiyo.

Serikali haijaeleza kwa kina ni chanjo gani wanayoitarajia.

Wizara ya Afya awali mwezi huu ilisema ilifuatilia chanjo ya AstraZeneca na kuidhinisha kwa matumizi nchini humo.

Kenya mpaka sasa imerekodi wagonjwa 105,057 wa virusi vya corona, kwa mujibu wa data za Wizara ya Afya.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...