Search This Blog

Wednesday, February 3, 2021

Hii hapa ratiba ya michezo ya ligi kuu leo


 LEO Februari 4, 2021 viwanja viwili vitakuwa na kazi ya kuhimili vishindo vya Wanaume 44 ambapo kila kiwanja kitakuwa na kazi ya kuhimili vishindo  vya Wanaume 22.

Mechi mbili za Ligi Kuu Bara zinatarajiwa kuchezwa ambapo zote ni viporo vya mzunguko wa Kwanza, itakuwa namna hii:-

KMC itawakaribisha Namungo FC,  Uwanja wa Uhuru.

Dodoma Jiji FC itawakaribisha Simba, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...