Search This Blog

Thursday, January 21, 2021

Watu 3 wafariki kwenye ajali ya helikopta nchini Marekani


Watu 3 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na ajali ya helikopta ya kijeshi iliyotokea katika mji wa New York nchini Marekani.

Helikopta hiyo iliyoanza msafara kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Rochester, ilianguka kwenye eneo la mji wa Mendon, magharibi mwa New York.

Katika ajali hiyo, wanajeshi 3 waliokuwa ndani ya helikopta hiyo walipoteza maisha.

Uchunguzi umeanzishwa kuhusu chanzo cha ajali hiyo.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...