Search This Blog

Thursday, January 21, 2021

Wakimbizi 32 wameokolewa, katika pwani ya Izmir ya Uturuki baada ya kusukumwa na Ugiriki


Wakimbizi 32 wameokolewa, katika pwani ya Izmir ya Uturuki baada ya kusukumwa na Ugiriki.

Kwa mujibu wa habari, timu ya walinzi wa Pwani zilikwenda katika eneo hilo wilayani Dikili.

Wakimbizi 32 wanasemekana kusukumwa na Ugiriki kwenye maji ya Uturuki, wakaokolewa na kisha kupelekwa pwani.

Watafuta hifadhi hao walipewa Mamlaka ya Uhamiaji ya Mkoa baada ya kufuata taratibu muhimu.

Wakimbizi 38, wakiwemo wanawake na watoto, ambao boti zao ziliharibika kutoka wilaya ya Ayvalık ya Balıkesir, waliokolewa na timu za Walinzi wa Pwani na kupelekwa pwani.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...