Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig.Jen Mstaafu Emmanuel Maganga amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Milambo Mkoani Tabora usiku wa kuamkia leo.
RC wa Tabora Dr. Philemon Sengati amethibitisha kutokea kwa msiba huo “moyo wake ulifeli, alikuwa na Kisukari na Presha, amefia Milambo Hospital Mkoani Tabora”

No comments:
Post a Comment