Search This Blog

Wednesday, January 27, 2021

Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amefungiwa miaka mitatu kutojihusisha na soka


 OFISA Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amefungiwa miaka mitatu kutojihusisha na soka nje na ndani ya Tanzania kwa kutolipa faini ya milioni tano aliyopaswa kulipwa mwaka jana.

Taarifa rasmi iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) imeeleza kuwa mbali na Bumbuli pia Katibu wa Klabu ya Lipuli FC, Julius naye amefungiwa. Taarifa imeeleza namna hii:-






No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...