Search This Blog

Saturday, January 2, 2021

Mpango mpya wa mazungumzo ya Palestina


Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas Ismail Haniyya, ametangaza kuwa mpango mpya inafanyika ili kuanzisha tena mazungumzo ya Kitaifa kufikia maridhiano ya Wapalestina.

Kulingana na taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti rasmi ya Hamas, Haniyya alisema,

"Kuna mpango mpya wa kuanzisha tena mazungumzo ya kitaifa kufikia makubaliano na umoja wa kitaifa."

Kuonyesha kwamba hatua walizoanzisha Harakati za Fatah pamoja na vikundi vingine katika mazungumzo yanayoendelezwa kwa mawasiliano ya ndani na nje ili kuhakikisha kuwa umoja huo unafanikiwa kutimiza mahitaji yake, Haniyya alisema kuwa Hamas ilikubali umoja wa kitaifa kama msingi katika mapambano dhidi ya Israel.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...